Friday, 22 May 2015

AJIRA HALMASHAURI YA WILAYA YA MONDULI - MAY, 2015

 

 

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI.
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Wilaya ya Monduli anawatangazia wananchi wote wenye sifa zilizoanishwa hapa chini kutuma maombi ya kazi kame'! zilivyotangazwa:-

1.Afisa Mtendaji Kijiji Daraja III - Nafasi 10
Ngazi ya Mshahara TGS B 1

Sifa :

Mwombaji lazima awe amemaliza Elimu ya kidato cha nne (IV) au Sita
(VI) aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani
zifuatazo: Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha,
Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za
Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
Umri: Mwombaji awe na umri kati ya miaka 18 - 40.
Waombaji wote wenye na sifa zilizoainishwa walioajiriwa, wapitishe barua zao kwa waajiri wao, waambatishe nakala za vyeti vya mafunzo, passport size 2 namba ya
simu na CV.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe05/06/2015 saa 9.30 alasiri.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Maombi vote yatumwe kwa;
Mkurugenzi Mtendaji (W),
Halmashauri ya Wilaya Monduli,
S. L. P. 1,
MONDULI.
Dominic M. Msagati.
KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI (W),
MONDULI
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive