Sunday, 26 April 2015

TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE - 23/04/2015



HALMASHAURI YA MJI WA KOROGWE
NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Mji korogwe kwa mujibu wa muongozo wa katibu mkuu Mkuu Utumishi wa utekelezaji wa maelezo ya serikali kuhusu, Halmashauri kuajiri kwa kumb: Na CCD. 129/215/013 WA TAREHE 9/6/2014, Halmashauri ya Mji korogwe mbali na kuwa na majukumu mengine, inalo jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali ngazi ya Halmashauri.
Hivyo inawatangazia watanzania wenye sifa ziliainishwa hapo chini kwa kila nafasi ya kazi na  ambao wako tayari kufanya kazi katika Halmashauri ya mji wa korogwe , kama ifuaavyo:
1, MTENDAJI WA MTAA DARAJA LA III- TGS B (NAFASI 2)
(a)    Sifa za kuingilia moja kwa moja
Kuajiriwa mwenyewe Elimu ya kidato cha nne (IV) au sita (VI) aliye hitimu mafunzo  ya sistashahada/ cheti katika moja ya fani zifuatazo: Utawala , sharia ya jamii, usimamizi wa fedha, maendeleo ya jamii ya sayansi ya sanaa kutoka chuo cha serikali cha serikali za mitaa Hombolo, Dodoma, au chuo chochote kinacho tambuliwa na serikali
KAZI NA MAJUKUMU YA MTENDAJI
i)Katibu wa kamati ya mtaa
ii) Mtendaji mkuu wa mtaa
iii)Mratibu wa utekelezaji wa sera na sharia zinazotekelezwa na Halmashauri katika mtaa
iv) Mshauri wa kamati ya mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika mtaa
Msimamizi wa utekelezaji mikakati  mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika
Mtaa.
vi)   Mshauri wa kamati ya mtaa kuhusu masuala ya ulinzi na usalama .
vii) Msimamizi wa utekeleaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umaskini
    katika mtaa
3 MCHAPA HATI DARAJA LA II- TGS B ( NAFASI 1)
a)    Sifa ya kuingilia moja kwa moja
Kuajili wa hitimu wakidato cha nne  au cha sita waliofaulu mtihani wa uhazili hatua ya II kutoka chuo cha watumishi  wa Umma na ujuzi wa kompyuta hatua ya I na II kutoka  vyuo vinavyotambaliwa na serikali.
            Majukumu ya kazi
i)    Kuchapa taarifa za uthamini na Hati za fidia
ii)    Kuchapa Nyaraka na Hati za kumiliki Ardhi
Masharti ya jumuhia:
1.    Mwombaji awe na umri wa kuanzia miaka 18 hadi 44
2.    Mwombaji andike majina yake anayotumia kwa usahili
3.    Mwombaji aandike majina yake anayotumia kwa usahili
4.    Mwombaji anatatakiwa kuambatanisha nakala ya cheti cha kuzaliwa, vyenye  vya elimu/ taaluma  na wasifu binafsi (CV)
5.    Waombaji watakaokidhi vigezo kuingizwa kwenye orodha a mapendekezo waajkishwa.
6.    Barua za maombi ziandikwe kwa lugha ya kingereza/kiswahli.
7.    Waombaji wa kazi wa eneo husika watapewa kipao mbele.
8.    Mwombaji ambaye atazingatia maelekezo hapo juu, maombi yake hayatashughulikiwa.
9.    Maombi yote yatumwe kwa mkurugenzi wa Mji, Halmashauri ya Mji korogwe, S.L.P 615 korogwe kwa  njia ya  posta, maombi yatakayo wasilishwa kwanji ya mkono hayatapokelewa.
10.    Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 4/5/2015
                                    Lewis kalinjuna
                                   Mkurugenzi wa Mji
                           Halmashauri ya  Mji wa Korogwe.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive