Friday, 1 May 2015

MTENDAJI WA MTAA III (X30) - ILALA

Mkurugenzi wa Manispaa ya lIala anapenda kuwatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa
kama ifuatavyo:-
1. Mtendaji Wa Mtaa III- NAFASI 30

SIFA
Kuajiriwa mwenye Elimu ya Kidato cha IV au VI aliyehitimu Astashahada (CHETI) katika fani ya
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya
Jamii kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa
na Serikali.
KAZI YA MAJUKUMU
i.Katibu wa Kamati ya Mtaa
Ii. Mtendaji Mkuu wa Mtaa
Iii. Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa
iv. Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu Mipango ya Maendeleo katika Mtaa
v.Msimamizi wa Utekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika
Mtaa.
vi. Mshauri wa Kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama
vii. Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na Umaskini katika
Mtaa;
viii. Kusimamia ukusanyaji wa Mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote;
ix. Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wote wa Mtaa na
x. Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.

NGAZI YA MSHAHARA- TGS. B

APPLICATION INSTRUCTIONS:

MASHARTI VA JUMLA
Mwombajilazima awe Raia wa Tanzania
Awe amehitimu na kupata Cheti cha Taaluma cha Kidato cha Nne (IV) NB. Results Slip hazikubaliki,
Awe na Cheti cha Kuzaliwa
Barua zote ziambatane na nyaraka zifuatazo:-
i.Nakala za Vyeti vya Mwombaji vilivyothibitishwa,
ii. Maelezo binafsi ya Mwombaji (Curriculum Vitae),
iii. Picha ndogo za rangi (Coloured Passport size) mbili (2) za Mwombaji za hivi karibuni.
Kila Mwombaji lazima awe na Umri kati YCl miaka 18 - 45
Waombaji wenye sifa Pungufu au Zaidi na zilizotajwa hapo juu hawashauriwi kuomba
kwani maombi yao hayatafanyiwa kazi.
Watumishi waliopunguza kazi/kufukuzwa kazi Serikali hawashauriwi kuomba
Waombaji ambao wameajiriwa wanashauriwa kupitishia barua zao za maombi kwa waajiri wao wa sasa.
Barua ambato hazikuambatishwa na nyaraka zilizotajwa hapo juu.(i-iii) hazitashughulikiwa.
JINSI VA KUTUMA MAOMBI
Barua zote za maombi ziandikwe kwa mkono, zikiwa na anwani kamili ya Mwombaji, pamoja na
namba ya simu na zitumwe kwa anuani ifuatayo:-

MKURUGENZI WA MANISPAA
MANISPAA VA ILALA
S. L. P 20950
DAR ES SALAAM:

TAREHE YA MWISHO YA KUPOKEA MAOMBI:-
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14105/2015 saa 9:30 Alasiri
Tangazo hili linapatikana pia kwenye Blog ya Manispaa ya lIala -
www.habariilala.blogspot.com
Limetolewa na;
ISAVA M. MNGURUMI
MKURUGENZI WA MANISPAA,
HALMASHAURI VA MANISPAA VA ILALA
Share:

0 comments:

Post a Comment

Blog Archive